WATANZANIA LIPENI BILI ZA MAJI: RAIS SAMIA

Georgina Misama – MAELEZO Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania wote nchini wanaopatiwa huduma za maji kujenga utamaduni wa kulipa bili zao kwa wakati ili Serikali itumie fedha hizo katika miradi mingine ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kurejesha fedha za mikopo. Akiwahutubia wakazi wa Misungwi Mkoani Mwanza,